
JARIBU KUFANYA LIFUATALO...
KWA MTOTO MWENYE UMRI WA KULA MWENYEWE
Mzazi unashauriwa kumtengezea Kachumbari yenye vitu vifuatavyo;
1.Nyanya
2.Vitunguu
Baada ya kukata tayari ikiwa na chumvi kidogo.anika juani kwa muda wa lisaa limoja
alafu waweza kumpatia mtoto.
Asipoweza kula hata ile juice yake unaweza mpatia, fanya hivyo kwa muda wa wiki moja mpaka mbili utaanza kuona mabadiliko.
No comments:
Post a Comment